Account General

Majukumu ya Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali ni kusimamia mapato na matumizi ya serikali, udhibiti wa fedha za umma, kusimamia mifumo ya fedha nchini. Kutoa fedha zikiwemo ruzuku kwa mawizara, taasisi za umma na sekta binafsi. Kutoa huduma za kifedha na uhasibu, kusimamia deni la taifa. Kufanya malipo kwa wastaafu, pamoja na kufunga hesabu za mwaka za serikali.

We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…