Budget

Idara ya bajeti inajukumu la kusimamia bajeti ya serikali pamoja na kuratibu mifumo ya bajeti ya serikali, kuratibu shughuli za kibajeti na kuandaa miongozo ya mapato na matumizi na kusambazwa kwenye mawizara na taasisi za Serikali, kutayarisha taarifa ya utekelezaji juu ya matumizi halisi kwa kila kipindi cha robo mwaka, kuandaa na kushapisha hotuba ya bajeti ya Serikali pamoja na vitabu vya makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali, kutoa vocha za mishahara za mawizara ya serikali na taasisi.

We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…