Fiscal Policy And Finance

Majukumu makuu ya Idara ni kuendeleza, kufuatilia, na kutathmini sera za kodi, fedha na rasilimali zisizorejesheka kwa lengo la kuimarisha rasilimali za ndani na kuhamasisha uwekezaji na uwekaji wa akiba. Na kushiriki katika ushirikiamo wa kikanda na kimataifa juu ya masuala ya kodi, maendeleo ya sekta za kifedha na usimamaizi wa rasilimali zisizorejesheka.

We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…