Policy Planning and Research

Idara ya Mipango Sera na Utafiti, inajukumu ya kuifanyia mapitio sera, sheria na kanuni zilizopo chini ya Wizara ya Fedha na Mipango, kuandaa mpango mkakati wa muda mrefu,kati na mfupi kwa kushirikiana na Idara zilizomo ndani ya Wizara ya Fedha na Mipango, kusimamia utekekelezaji wa mipango ya Wizara, kuratibu shughuli za ufuatiliaji na tathmini katika Wizara, kusimamia utekelezaji wa miradi iliopo chini ya Wizara, kukusanya na kuhifadhi takwimu za fedha, kuibua maeneo ya utafiti katika Sekta, kuratibu vikao vya mijadala ya kodi.

We use cookies to improve our website. By continuing to use this website, you are giving consent to cookies being used. More details…