Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Dkt. Juma Malik Akil, tarehe 02 Mei, 2023 ameongoza Mkutano baina ya baadhi ya Makatibu Wakuu wa SMZ, Maafisa Mipango wa SMZ na Ujumbe kutoka ADB ukiongozwa na Madam Grace Bingileki.
Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Vuga, Mjini Zanzibar
Lengo la Mkutano huo ni kujadili vipaumbele vya Miradi ya Maendeleo ya Zanzibar ili ADB ijue mahitaji muhimu ya SMZ
Imetolewa na
Kitengo cha Habari na Uhusiano
Ofisi ya Rais Fedha na Mipango
02 Mei, 2023