MHE. DKT SAADA MKUYA SALUM AKIENDELEA KATIKA ZIARA NCHINI KOREA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akichangia mada katika ajenda zilizolenga kuangalia namna nchi za Afrika zinaweza kuondokana na changamoto ya nishati pamoja na kuleta mageuzi ya kilimo barani Afrika, katika mkutano wa saba wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na Nchi za Afrika (KOAFEC), Mjini Busan, Jamhuri ya Korea Kusini.

Tags: No tags

Comments are closed.