Mhe. Waziri akifanya ziara yake kuitembelea Bandari y Wesha – Pemba

Mheshimiwa waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe Jamal Kssim Ali karika Ziara zake leo ametembelea Bandari ya Wesha kuangalia hali halisi ya bandari na ukusanyaji wa mapato hasa kwa bidhaa zinazotekea Tanzania bara