Mhe. Waziri atembelea Tawi la Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) – Pemba

Mhe. Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Mhe. Jamal Kassim Ali pia alipata fursa ya kuitembelea Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) na kuweka Saini kitabu cha kumbukumbu cha Wageni ndani ya afisi hiyo. Aidha, Mhe. Jamal aliwashauri kuangalia uwezekano wa  kuweka huduma zao za kibenk hiyo katika maeneo ya chini kwani wateja wengine wanakuwa wazee huwa hawawezi kupanda juu jambo ambalo linawaletea usumbufu. Mhe. Jamal alisema hayo wakati alipotembea afisi hizo zilowepo Chake Chake mkungu malofa.