Mhe.Dkt Saada Mkuya Salum amewataka Masheha wahakikishe kuwa Wazee wanaolipwa Pencheni jamii wanawatambua ili kuepusha udanganyifu
Aidha, baadhi ya wazee hao, wamemshukuru Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt Hussein Ali Mwinyi Kwa kuwaongezea Pencheni jamii kutoka 20,000 Hadi 50,000/ Kwa Mwezi






Imetolewa na
Kitengo cha Habari na Uhusiano
Ofisi ya Rais Fedha na Mipango
17 Julai, 2023