Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Fedha na Mipango Dkt. Juma Malik Akil amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkaazi ...
Blog
Blog
Latest Posts
![demo-attachment-1363-Blog-4](https://mofzanzibar.go.tz/newpofp/wp-content/uploads/2021/07/Blog-4.png)
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetiliana saini na kampuni ya CRJE juu ya Mkataba wa Ujenzi Mradi wa Uimarishaji wa Miji Kwa Upande wa Unguja.
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar leo tarehe 2/05/2024 imetiliana saini na kampuni ya CRJE juu ya Mkataba wa Ujenzi M ...
Katibu Mkuu Dkt. Juma Malik Akil leo akutana na Ujumbe kutoka Chuo cha Ulinzi cha Taifa (NDC)
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Fedha na Mipango Dkt. Juma Malik Akil leo tarehe 30/04/2024 amekutana na Ujumbe kutoka Ch ...
Mheshimiwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum amefanya ziara ya kushtukiza katika Kampuni ya “Fanikisha Limited” iliyopo mpendae inayojishughulisha na Utoaji wa Huduma za Fedha.
Aidha, katika ziara hiyo Dkt. Saada amegundua kuwa kampuni ya “Fanikisha Limited” ilikuwa inatoa huduma hizo bila ya ...
Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais- Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum kuongoza kikao cha Uongozi.
Kikao hicho kimejadili agenda mbalimbali za kimaendeleo kikao hicho pia kimepata fursa ya kumuaga aliekuwa Naibu Wazi ...
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais – fedha na Mipango Mhe. Dkt Saada Mkuya Salum ameendesha kikao cha Jukwaa la Uchumi na Bajeti kwa upande wa Serikali kuu kwa mujibu wa sheria ya Fedha.
Mhe Dkt Saada Mkuya Salum amewataka wanasheria wote wa serikali na makatibu wakuu kuacha kusaini mkataba wowote wenye ...