Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
Ofisi ya Rais Fedha na Mipango
Karibu katika Tovuti yetu ya Ofisi ya Rais Fedha na Mipango
vyombo vya habari
Habari za hivi punde na Matukio
Mheshimiwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum amefanya ziara ya kushtukiza katika Kampuni ya “Fanikisha Limited” iliyopo mpendae inayojishughulisha na Utoaji wa Huduma za Fedha.
Aidha, katika ziara hiyo Dkt. Saada amegundua kuwa kampuni ya “Fanikisha Limited” ilikuwa inatoa huduma hizo bila ya ...
Waziri wa Nchi-Ofisi ya Rais- Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum kuongoza kikao cha Uongozi.
Kikao hicho kimejadili agenda mbalimbali za kimaendeleo kikao hicho pia kimepata fursa ya kumuaga aliekuwa Naibu Wazi ...
Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais – fedha na Mipango Mhe. Dkt Saada Mkuya Salum ameendesha kikao cha Jukwaa la Uchumi na Bajeti kwa upande wa Serikali kuu kwa mujibu wa sheria ya Fedha.
Mhe Dkt Saada Mkuya Salum amewataka wanasheria wote wa serikali na makatibu wakuu kuacha kusaini mkataba wowote wenye ...
Nyaraka
Nyaraka za Ofisi
huduma
Ofisi ya Rais Fedha na Mipango kupitia idara na taasisi zake wanatoa huduma mbalimbali kama vile nakala za mshahara (Pay Slip), Leseni za udereva, Pencheni jamii, Miongozo ya ulipaji kodi, vibali vya utafiti n.k
[exchange-rates_badge color="#5d6cf4" amount="1" base_currency="TZS" flag_type="rectangular" decimals="4" base_show="on" inverse="on" code="on" symbol="on" id="1688921389" currency_list="AED,CNH,EUR,GBP,KES,OMR,USD,ZAR"]