Kupitia Maandiko mbalimbali ya Miradi ya Kimkakati ili kuweza kutafutia Ufadhili kutoka washirika wa Maendeleo.
Kuratibu Mikutano ya Mashauriano na Wizara Mbalimbali Ili Kuweza Kuibua Mradi ya Kimkakati Kulingana Na Fursa Zilizopo Za Ufadhili.
Kushirikiano na Tume Ya Mipango Kupambanua Vipaumbele Vya Nchi Ambavyo Vinaweza Kupata Ufadhili Wa Washirika Wa Maendeleo.
Kuishauri Serikali Na Wadau Wengine Sera, Taratibu, Mikakati Ya Washirika wa Maendeleo Ili Kuhakikisha Kwamba Fedha Zinatumika Ipasavyo.
Kuratibu Na Kushiriki Katika Hatua Mbalimbali Za Utayarishaji Wa Miradi Inayofadhiliwa Na Washirika Wa Maendeleo.
Kuratibu Na Kushiriki Kwenye Majadiliano Ya Kisera Na Mashauriano Mbalimbali Ambayo Yanahusisha Serikali Ya Jamhuri Ya Muugano Wa Tanzania Pamoja Na Washirika Wa Maendeleo Kwa Dhumuni la Kuboresha Mahusiano.