Kuandaa Mpango Kazi Wa Ufuatiliaji Na Thathmini Wa Miradi Ya Washirika Wa Maendeleo Kila Robo Mwaka
Kufanya Ufuatiliaji Wa Miradi Ya Maendeleo Kifedha Na Utekelezaji wake, Kwa Kuangalia Upatikani Wa Fedha Za Washirika Wa Maendeleo.
Kuyatarisha Ripoti Za ufutailiaji Wa Miradi Mwezi. Robo Mwaka, Nusu Mwaka Na Mwaka Kutoka Kwa Washirika Wa Maendeleo
Kufuatilia Utekelezajia Wa Mpango Kazi Wa Idara.
Kushiriki Mikutano, Ziara ya pamoja na washirika wa Maendeleo kwa Lengo la kufanya tathmini ya Utekelezaji Wa Miradi Ya Maendeleo.
Kutayarisha Na Kusimami Database Kwa Kuweka Kumbukumbu Za Taarifa Za Fedha Kutoka Kwa Washirika Wa Maendeleo
Kushirikiana Na Tume Ya Mipango Na Kuhakikisha Kuwa Taarifa Za Washirika Wa Maendeleo Zinapatikana Kwa Wakati Na Kutoa Ya Fedha Pamoja Na Utekezaji Miradi Mbali Mbali Ya Maendeleo.