kusimamia sera na miongozo yote ya misaada ya nje ya kutoka kwa washirika wa maendeleo.
kusimamia na kuratibu usimamizi wa madeni ya nje ikiwemo kuweka kumbukumbu za mikataba ya mikopo pamoja na kufanya uchambuzi wa awali na kutoa ushauri wa kitaalamu wa mkopo husika.
kuratibu na kusimamia miradi yote inayotekelezwa na idara ya fedha za nje.
kusimamia utayarishaji wa mipango na uteke lezaji wake na idara na kuandaa bajeti ya idara
kusimamia utayarishaji wa bajeti ya serikali na kushirikisha mchango wa washirika wa maendeleo katika bajeti ya maendeleo
kukusanya na kupokea na kuzifanyia uchambuzi wa taarifa kutoka kwa washirika wa maendeleo na kuandaa ripoti kutokana taarifa hizo.
kuratibu mikutano robo mwaka kwa sekta mashirika pamoja na taasisi za serikali na zisizo za serikali kwa ajili kukusanya taarifa za fedha pamoja na utekelezaji kutoka kwa washirika wa maendeleo
kufanya ufuatiliaji wa mikakati ya misaada kutoka nchi husika kutoka washirika maendeleona husisha pamoja na mipango yetu na utekelezaji
kuratibu mikutano ya majadiliano ya mwaka na ile ya nusu mwaka ya washirika wa maendeleo
kushirikiana na tume ya mipango katika uratibu wa kuonainisha malengo ya endelevu pamojana kuoanisha utekelezaji wa muongozo mpya wa mashirikiano baina ya serikali na washirika wa maendeleo.