Serikali ya Mapinduzi Zanzibar

Ofisi ya Rais Fedha na Mipango

Divisheni ya Mageuzi ya Bajeti

Divisheni ya mageuzi ya bajeti inashughulika na kusimamia masuala ya sheria katika usimamizi wa fedha za Umma.

Majukumu ya Divisheni ya Mageuzi ya Bajeti

  • Kusimamia masuala ya Sheria katika usimamizi wa fedha za Umma;
  • Kuratibu MTEF na mpango kazi wa Idara kwa mashirikiano na divisheni;
  • Kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na ya mwaka.
  • Kusimamia uimarishaji wa bajeti ya Serikali;
  • Kubuni mfumo bora wa bajeti unaozingatia program;
  • Kusimamia mageuzi yoyote yanayoigusa bajeti ya Serikali.
Scroll to Top