Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais – fedha na Mipango Mhe. Dkt Saada Mkuya Salum ameendesha kikao cha Jukwaa la Uchumi na Bajeti kwa upande wa Serikali kuu kwa mujibu wa sheria ya Fedha. Mhe Dkt Saada Mkuya Salum amewataka wanasheria wote wa serikali...Read More