Majukumu ya Divisheni ya Utafutaji Rasilimali.

  • Kupitia Maandiko mbalimbali ya Miradi ya Kimkakati ili kuweza kutafutia Ufadhili kutoka washirika wa Maendeleo.
  • Kuratibu Mikutano ya Mashauriano na Wizara Mbalimbali Ili Kuweza Kuibua Mradi ya Kimkakati Kulingana Na Fursa Zilizopo Za Ufadhili.
  • Kushirikiano na Tume Ya Mipango Kupambanua Vipaumbele Vya Nchi Ambavyo Vinaweza Kupata Ufadhili Wa Washirika Wa Maendeleo.
  • Kuishauri Serikali Na Wadau Wengine Sera, Taratibu, Mikakati Ya Washirika wa Maendeleo Ili Kuhakikisha Kwamba Fedha Zinatumika Ipasavyo.
  • Kuratibu Na Kushiriki Katika Hatua Mbalimbali Za Utayarishaji Wa Miradi Inayofadhiliwa Na Washirika Wa Maendeleo.
  • Kuratibu Na Kushiriki Kwenye Majadiliano Ya Kisera Na Mashauriano Mbalimbali Ambayo Yanahusisha Serikali Ya Jamhuri Ya Muugano Wa Tanzania Pamoja Na Washirika Wa Maendeleo Kwa Dhumuni la Kuboresha Mahusiano.