Majukumu ya Divisheni ya Ufuatiliaji na Tathmini.

  • Kuandaa Mpango Kazi Wa Ufuatiliaji Na Thathmini Wa Miradi Ya Washirika Wa Maendeleo Kila Robo Mwaka
  • Kufanya Ufuatiliaji Wa Miradi Ya Maendeleo Kifedha Na Utekelezaji wake, Kwa Kuangalia Upatikani Wa Fedha Za Washirika Wa Maendeleo.
  • Kuyatarisha Ripoti Za ufutailiaji Wa Miradi Mwezi. Robo Mwaka, Nusu Mwaka Na Mwaka Kutoka Kwa Washirika Wa Maendeleo
  • Kufuatilia Utekelezajia Wa Mpango Kazi Wa Idara.
  • Kushiriki Mikutano, Ziara ya pamoja na washirika wa Maendeleo kwa Lengo la kufanya tathmini ya Utekelezaji Wa Miradi Ya Maendeleo.
  • Kutayarisha Na Kusimami Database Kwa Kuweka Kumbukumbu Za Taarifa Za Fedha Kutoka Kwa Washirika Wa Maendeleo
  • Kushirikiana Na Tume Ya Mipango Na Kuhakikisha Kuwa Taarifa Za Washirika Wa Maendeleo Zinapatikana Kwa Wakati Na Kutoa Ya Fedha Pamoja Na Utekezaji Miradi Mbali Mbali Ya Maendeleo.