Divisheni hii inashughulika na uhifadhi na udhibiti wa taarifa za mishahara.

Majukumu Divisheni ya Uhifadhi na Udhibiti Taarifa za Mishahara

  • Kubunia njia bora za usimamizi ripoti za mishahara (CPO) Kwa ajili ya matayarisho ya malipo;
  • Kuratibu uchapishaji wa taarifa za mshahara kwa kila mfanyakazi;
  • Kusimamia uandaaji MTEF na mpango kazi wa Idara kwa mashirikiano na divisheni; 
  • kuandaa ripoti za utekelezaji wa kazi ikiwemo ripoti ya robo, nusu na mwaka
  • Kuratibu marekebisho yaliyoidhinishwa ya wafanyakazi ndani ya Database ya mishahara;
  • Kubuni njia bora ya uwasilishaji wa taarifa za mishahara kwa kila mwezi kwa Taasisi husika za Serikali;
  • Kubuni mageuzi yoyote yanayoigusa bajeti ya Serikali.