WAZIRI

Mheshimiwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango anateuliwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa uwezo aliopewa chini ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 Kifungu 42 (2) akiwa na jukumu Kusimamia na kuendeleza utekelezaji wa sera na mipango inayohusiana na sekta husika.

WhatsApp Image 2023-07-15 at 17.16.42 (2)

NAIBU WAZIRI

Mheshimiwa Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango anateuliwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa uwezo aliopewa chini ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 Kifungu 42 (2) akiwa na jukumu Kumsaidia Mhe. Waziri na kuendeleza utekelezaji wa sera na mipango inayohusiana na sekta husika.

naibuwaziri

KATIBU MKUU

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Fedha na Mipango anateuliwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa uwezo aliopewa chini ya Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kifungu Nam.50 (2) na (3) akiwa ndie anaesimamia masuala ya jumla ya Fedha za Serikali pamoja na masuala ya kitaifa ya utafutaji misaada na mikopo kwa wahisani.

DSC_5310

NAIBU KATIBU MKUU

Katika utekelezaji wa kazi zake Ofisi ya Rais Fedha na Mipango inaongozwa na Naibu Katibu Mkuu kama ifuatavyo:-

  • Naibu Katibu Mkuu atakuwa ndiye mtendaji na msimamizi mkuu wa kazi za kila siku za Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, vile vile anasimamia Idara tisa (9) zenye Divisheni Thelathini na moja (31) na Vitengo tisa (9).
naibukatibu
Client

Delta

Release Date

Feb 2019

Role

App Design