Divisheni hii inahusika na shughuli za ufanyaji wa tafiti mbali mbali na zinazohusu mipango, miradi na programu mbali mbali zinazoendeshwa na ofisi kuhusu sekta zinazosimamiwa. Divisheni hii inaongozwa na Mkuu wa Divisheni.

Majukumu ya Divisheni ya  Utafiti

  • Kufanya tafiti na uchambuzi wa utekelezaji wa mipango, miradi na program mbalimbali inayotekeleza na Ofisi na kutayarisha maelezo ya kisekta;
  • Kufanya uchunguzi juu ya namna ya utoaji huduma na kukusanya mawazo/maoni kwa wadau juu ya huduma zinazotolewa na Ofisi;
  • Kushiriiana na Vyuo vya Elimu ya Juu katika kufanya tafiti na uchunguzi unaohusiana na majukumu ya Ofisi na kusaidia kazi za Idara ya Uchumi na Maendeleo katika kutekeleza majukumu yao.
  • Kufanya utafiti na kubainisha fursa zilizopo katika sekta husika;